Makapuku Forum

5/Mississippi River
Unapatikana huko Amerika Kaskazini nchini Marekani
Hivyo upo Marekani ila kuna vitawi vyake(drainage) vinaelekea hadi huko Canada
Upo kwenye jimbo la Minnesota ila unajiendea hadi huko Mexico
Una jumla ya Km zipatazo 4000
......
 
Kila mtu kwa wakati wake jamaan we chagua tu hata kama mie nimechagua


Chaguo la husna muba linakuja kwanza, wewe lako litasubiri sana, yaani leo akichagua wimbo naweka album nzima, akiomba album namletea band nzima, akiomba picha namletea na negative.

Chaguo lako litasubiri hadi Ramadhan ijayo. Kupenda kazi kama ulikuwa hujui hii ndo masterPhD
 
Asante binamu ujumbe umenifikia mubashara ubarikiwe sana binamu yangu najua mapenzi yana nguvu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…