6/
Yenisei River
Unapatikana huko China
Unaandikwa pia kama
Yenisey
Upo kwenye jimbo la Mongolia na unamwaga maji sijui unatokea bahari ya Aktiki
Una urefu wa Km 3487
.
.
Na huu ungekaa huko nyuma
Ndiyo maananikasema kwenye utanguluzi watu wanapishana mito waipimaje
.......