Kwa wasiofahamu wanyama kama mbwa wana uwezo mkubwa wa kung'amua dalili za tetemeko sababu wanasikia mawimbi/mtetemo kutoka umbali mrefu ardhini
Hata Bukoba Kagera alikuwa hivyo ila kutokana na "ushamba" wawabongo wakawadharau mbwa na kuwaona vichaa matokeo yake wanayajua wenyewe
End
.....
..........