Makapuku Forum

Labda hakuwa na muda, busy kwenye harakati
 
Leo katika Historia

1972 - Jaap Stam anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man utd, Ac Milan na Uholanzi.

Ni beki kipande cha mtu ....kwa umbo na sura kafanana na Jan Kohler wa Jamhuri ya Czech
Alishinda mataji matatu mwaka 1999 na kuwa kwenye kikosi cha kihistoria
Kosa pekee alilofanya likamgaharimu ni kutaka kushindana na babu SAF matokeo yake akauzwa kama mbwa !!
Sikio halizidi kichwa
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…