Makapuku Forum

Aisee jambilo njoo huku bibi povu linamtoka.
Ukichelewa sekunde tu anaweza kuripuka kwa hasira.
Mimi natoka ndukii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mama yangu, mimi huwa sielewi unachokuwa unakiandika.
 
Mama yangu, mimi huwa sielewi unachokuwa unakiandika.
Kweli? Unapoandika kwenye hizi places inabidi uwe ambiguous ili msomaji atumie kichwa. Unakumbuka nilisema nimekuwa addicted na JF, hivyo nikasema natafuta dawa. Juzi nilitoa comment kuhusu watu waliokufa kigamboni, mtu alinitukana niakaona let me be out for a while ndo maana nikawa nimekosekana so that was my medicine. Literature inakufundisha kutumia picha au vitu kuficha kile unachotaka kusema. Ndo maana watu wa fasihi wengi hawaeleweki sababu ya tasishishi you hide behind the curtain.
 
Nani kakwambia jambilo ni mtoto!
Nana kasema haya ndo maisha halis?
Hapa tunafurahi tu mkuu
Ndio maana tunaitana WAKUU
tuna ashumu kuwa wote tuko sawa
Sikuombi radhi nilichosema ndo mahali pake
Kama wataka heshima tumia ID NA PICHA HALISI vinginevyo wote ni wakuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…