Makapuku Forum



Asante kwa salamu zako Husna wangu mwenyewe. Uwe na wakati mzuri
 
Zamani mtu anatembea kilometer 5 kwenda shule na anafauru vizuri tu, sasa hivi wanabebwa kwenye mabus, ukiwauliza kusini ni wapi utakavyojibiwa utachoka

Ha ahhahahaha, eti kusini ni wapi . Yaani pande nne tu zinawasumbua, ukiwaeleza kuwa sio nne bali 8, na sio nane baki 16 wanakuona mvumbuzi.

Umenifanya nimefurahi , asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…