We mtoto umenikosea adabu!!!!!!! Nikuambie nashukuru kwa kila jambo. Naridhika, sitamani wala sioni husda kwa lolote. Nimeridhika na ndo maana napata time ya kukaa na wanangu na wajukuu na kaka na dada zangu kubadilisha mawazo. Fuatilia chart zangu sina mihemko mimi ni bibi niliyeridhika. Samahani sikupenda kusema haya yote ila nataka unielewe. I am a bit of a commedian I am also a writer so i like writing what I think is funny and which can make others laugh but I am not looking of company. I have already long time ago about 30 na more years ago. Jambilo niombe samahani sasa hivi.