ebana vipicha vyako vya "did u know" ndo vimefanya nipitie uzi huu mrefu japo nimeanzia mwsho kurud mwanzo[emoji2] [emoji2] [emoji2]Lengo la huu uzi halijawahi kuwa kupeana like ilitokea tu kila post ilipata like hivyo kugeuka mazoea
Kwangu mimi ni bora mtu asinipe like ila apost kitu chenye manufaa(kunielimisha,burudisha,chekesha n.k)
Lengo kuu la thread ni kudumisha urafiki na kupeana maarifa...urafiki unadumisha kwa kupiga stori kwa kutaniana,chekeshana n.k
Kupeana like ingekuwa ni lengo letu basi Uzi ungekuwa wa kurundika tu makorokoro a.k.a Dustbin thread
Naomba nisisitize kuanzia sasa mtu yoyote asinipe like ila tu pale atakaoojisikia....
Nina malike 100,000+ na hayajawahi kuwa na faida kwangu
.............
Mbona kagoma[emoji133] [emoji133]Ngoja mama D atatupelekaa
[emoji4][emoji4]shemela jamaaniMama Mchungaji yuko wapi jamani
Ni kweli shemelaAisee
Kikubwa ufike kaka we mwanaumeHizo zote zilijaa nafasi IPO ya j3 tu
[emoji106] [emoji106]Nakuaminia mke mwee
Pole sana shemeji kwa usumbufu wa safariHizo zote zilijaa nafasi IPO ya j3 tu
Sijamuona kama siku tatu hivi[emoji4][emoji4]shemela jamaani
Mama mchuchu muulize mke mwee amjibie shemelaSijamuona kama siku tatu hivi
PoaNi nzuri hbr ya wkend
MmmhChikamoo j
Unashangaa wapi shem nikufuatePoa, mimi now nipo Moshi nashangaa shangaa tu
Ebu mtafute kweliUnashangaa wapi shem nikufuate
Nipo hapa polic messEbu mtafute kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ebu mtafute kweli
Walimcheka signature ya cmu yke ndo anasubiri vijana wamtolee ndo ajeSijamuona kama siku tatu hivi
[emoji106] [emoji106]
Bakayoko tayari umemchukuaMimi sitakiiii kwa sasa ....
Kweli shemela yupo moshi huyoNipo hapa polic mess
Nipo Moshi kweliKweli shemela yupo moshi huyo