Makapuku Forum

Mimi sasa ....kuna ile sasa

Thamani ya wokovu wangu amayejua ni mwokozi wangu ....

Thamani ya maisha yangu anayejua ni Muumba ....

Nikisema nimeokoka mbona hamunielewiii....
Ngoja nikusimulie habari ya kijana mmoja kijana mtanashati mpole kipenzi cha wengi anazo sifa nyingi lakini kuu kwake ni upendo

Siku moja alikutana na mwanamke msamalia kisimani kijana kamuomba maji mwanamke nae kamuuliza tangu lini wayahudi na wasamalia tukashikama

Kijana akamwambia ungejua me ni maji yaliyo hai ungekuja kwangu unywe maji ili usiwe na kiu tena

Mimi aliniona nilivyokuwa nimechoka nimechakaa kijana kanipenda kanichukua kanitengeneza

Thamani ya wokovu wangu anayejua ni Mwokozi wangu

Daah Baba D nampenda huyu dada atanifanya niokoke aisee kwa nyimbo zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…