Makapuku Forum

ndio maisha yetu ya kiswazi hayooo

Vijana mnaita vigodoro

Sisi enzi zetu tulikuwa tunaita"disco vumbi"
Tulikuwa tunakesha kila New Year pale Mabibo kwa Bibi Cheche na Kigogo au Manzese ila siku hizi imekuwa marufuku
What a stupidity ? maisha magumu halafu tusio na uwezo wa kwenda Night Club hawataki tuburudike kitaa
Hata kujinywea viroba imekuwa mwiko na mchana huruhusiwi kunywa pombe
Bangi nayo imefanywa dawa ya kulevya

WTF


......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…