Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mmeamka salama kabisa wengine mkiwa na hang over kidogo....
Karibuni sana kwenye leo katika historia ambapo asubuhi ya leo italetwa kwenu nami Jimena Jimenes kwa udhamini mkubwa kabisa wa Usher Rymond huko kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti...