Ndiyo,wabadili KATIBA watu kama walifanya makosa wawajibishwe,
Lula Da silva huko brazil amepigwa miaka 9 kwa rushwa ya dola mil 1 tu ilotumika kukarabat nyumba yake,na mstaafu mwenzie ana kesi ya kandaras ya biashara ya nyama
May Allah bless Me and You