Mtaasisi on fleekAsante kwa hii info kuhusu Kidjo, ni mshindi wa Grammy huyu na anatajwa sana kuwa ni mwanamuziki maarufu zaidi Africa, anaishi US
Nilimuona akiimba Davos kwenye mkutano wa 'likes' kwenye jukwaa la uchumi. Napenda Wombo Lombo leo nitarusha hiyo Agolo.
Yeye na Youssou ni wanamuziki wanaonivutia sana
BTW, 'mkuu' sio mimi (joke) mimi ni mdau, mtaasisi na ili usichoke sana refer me as Obe
I see! Wewe mkali
Mkimind naendelea [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Poa mkuuSwafi Mkuu.
Leo katika Historia
1971 - Howard Webb. Mwamuzi wa zamani toka nchini Uingereza anazaliwa.
Faka, mambo!Habari za mchana Kapukus.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]I see! Wewe mkali
SwaafHabari za mchana Kapukus.
Salama tu fakalavaHabari za mchana Kapukus.
Weekend imekaa pouwa, ratiba yako ikoje leo jioni? Nataka nikutoe.Nzuri.. Habari ya weekend?
Ah ah aaaaa wewe Dj Obe sasa unataka kuharibu.. Mi ni Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ acha kuexegate sasa[emoji31] [emoji31]Nimeisoma kwa ukaribu na uzuri kabisa mdau, asante. Ombi likitoka kwa Jimena lazima liheshimiwe, yeye ni mkuu, sawa sawa
G G M U
Refa mapenati ni wa Manchester?
Mashabiki wa Utd tunamjua alivyokuwa anatubeba kiasi cha kudaiwa ni "mtu wetu"
Alikuwa pilato wa mechi ya Fainali WC 2010 pale Sauzi akaharibu
Tukio linalokumbukwa ni aliposhindwa kumpa red Nigel de Jong aliyemrukia teke la kifua Xabi Alonso
......