Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Yaani shemeji hapa dodoma nipo kama sipo maana mda ninao pata wa kuzunguka ndo raia wanaenda kulala ila mungu akilajalia jumamosi narudi kwetu ilejeKumbe uko kwenye mema ya nchi, haya shemeji
Indimkafu utwaapo uliHbr yako kaka ake mie
lile lilikuwa swali la jaza nafasi iliyo achwa wazi
I knew it..!
Lazima lingetokea tuu..
Football is a game of passion..
Tuna ushamba fulani hivi wa kutoizunguka dunia sababu ya umaskini hivyo kila anapokuja staa mkubwa(kumbuka yaliyomkuta Kaka) inakuwa ishuJamaa kajilipua
Kesho labda...Pole utatuletea ukipata tyme
NdiòWe Wa porini?!
Usijali jamani, ni kama ya siku zoteHii vita kubwa sana..
Hii ya kulala sasa hivi eeh?
Vipi ile "meseji" hukuona ?Ucjal hata hivyo unajitahidi sana
Kwani veepeeHiyo avatar mhhhhhhmhhhhh
Duh Wanyaki tumejaa humuYaani shemeji hapa dodoma nipo kama sipo maana mda ninao pata wa kuzunguka ndo raia wanaenda kulala ila mungu akilajalia jumamosi narudi kwetu ileje
Mi mndali jirani yake mnyakiDuh Wanyaki tumejaa humu
Mwingine yupo hapo juu
.....
Kwa hiyo wa dar wote ni samaki??
eti fishing village yani hawa majamaa wanadhani mpaka leo maisha ya afrika bado ya kikoloni
You are taking this wrong mkuu..Tuna ushamba fulani hivi wa kutoizunguka dunia sababu ya umaskini hivyo kila anapokuja staa mkubwa(kumbuka yaliyomkuta Kaka) inakuwa ishu
Ila ningekuwa na uwezo wa kwenda Ulaya kulekule kuwaona isingekuwa huu ubwege unaendelea
Najua hata Ulaya haya mambo kutokea
........
Wakenya wanahusikajee ...gazeti ni la ukWakenya ktk ubora wao
Watakufa na vijiba vya roho
.......
YeaaaaahI knew it..!
Lazima lingetokea tuu..
Football is a game of passion..
Nafikiri bado hujasikia wakichokifanyaWakenya wanahusikajee ...gazeti ni la uk
Nitonye make leo nilikuwa bizeNafikiri bado hujasikia wakichokifanya
.....
Tununu kaka utwa ku idodomyaIndimkafu utwaapo uli
Mwishoni nimeandikaYou are taking this wrong mkuu..
Pitch invaders wako kila mahali..the only thing ni ile watu kuwa na passion na mchezji fulani .
Mimi nabisha kuwa sio ushamba wala sio kutokutembea duniani.
Ona hapo