Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ila Bakayoko atimbee kwanzaaWelcome Nemanja
We need u..
.....
Ila Bakayoko atimbee kwanzaaWelcome Nemanja
We need u..
.....
Ndo itakavyokuwaIla Bakayoko atimbee kwanzaa
Thanks bitozEnd![]()
......
Hii ni vita ya biashara ya utalii Kati ya Tanzania na KenyaSijajua daily maily la uk walimanisha nini ...![]()
Duuuuu,asante kwa kunifahamishaUliza mtu yoyote wa bk enzi hizo atakuambia, kuna vitambaa vilikuwa vinatoka Uganda viliitwa Juliana ni maarufu sana Kanda ya ziwa
Ndio hapo na huo ugonjwa ukaingia, ukiuliza anaumwa nini, unaambiwa Juliana
Haya wee poleni wanaume woteMaisha, wanaume tumeumbiwa mateso
Tetesi za usajili kwa udhamini mnono wa wali njugu maji .....shushia kidogo na juisi ya fenesi....ndo menu ya kapuku hotel
msosi muruaaaWapi niliposema sitaki?!Sasa hutaki kuhusu taarifa hii hapa Kijijini
We Wa porini?!Shukran wale wa dar kazi ni kwenu najua mshafika Taifa

Shukrani mdauEnd![]()
......
Fishing village of dar es salaamSijajua daily maily la uk walimanisha nini ...![]()

Akuje huyo dadekMeneja wa Chelsea anajiandaa kumuuza kiungo Nemanja Matic, 28, kwa pauni milioni 40. Matic amekuwa akifanya mazoezi peke yake na anataka kuungana na Jose Mourinho Old Trafford. (Daily Telegraph)
![]()
Kosi litakuwa limekamilika sasa akija huyuManchester United wana matumaini ya kukamilisha usajili wa winga wa Inter Milan Ivan Persic, 28, wiki ijayo. (Daily Star)
![]()
Sijajua daily maily la uk walimanisha nini ...![]()
