Rooney siyo kipenzi cha WaingerezaNUKUU YA LEO
i just want to say a massive thank you to everybody at manchester united,thank you to the board over years, the managers and coache's i hav played under,the staff i hav worked with, the team mates i hav played alongside,and finaly the amazing fans that i hav been lucky to play for . Thank for the memoris [emoji173]
Nitoe shukrani zangu nyingi kwa kila mmoja klabuni Manchester United, wakurugenzi wa bodi kwa miaka niliyokuwa hapa, mameneja na makocha niliofanya nao kazi, stafu niliofanyana nao kazi, wachezaji wenzangu niliocheza nao, na mwisho mashabiki ambao nimebahatika kucheza kwenye klabu yao. Asanteni kwa ukumbusho huu [emoji173]
Haye maneno yametamkwa na mwanasoka wa kiingereza na kipenzi cha klabu ya man united na everton za uingereza Bw. Wayne Mark Rooney .
Rooney alizaliwa October 24 1985 katika jiji la liverpool nchini uingereza.
Rooney amecheza michezo 77 akiwa na everton na kufunga magoli 17 tuu, amecheza mechi 559 na kufunga magoli 253 akiwa na man united.
Rooney anashikilia rekodi ya ufungaji wa magoli mengi zaidi klabuni MUFC na Time ya Taifa.
Leo atakuwa anacheza mechi ya 78 na timu ya Everton dhidi ya Gor mahia ya kenya, baada ya kurudi katika Club yake ya zamani ya Everton.
Leo Baba kai au (R10) au Wazza atakuwa Taifa pale..
Kwa hisani ya Bitoz, shunie, mossolin5, Nyagei na Transcend.
Team OT..
Mie zaidiNakupenda.
Tupo tunasubiria mechiKwema kabisa kaka ake Jimena
Usikose kwenda kumcheki ex wetuTupo tunasubiria mechi
Pamoja sana mkuuAsante mkuu
Ngoja tusubiri msimu uanze1
Chelsea msimu huu wanazengua kufanya maamuzi ya usajili ....Bakayoko ndo hivo kila siku maneno ...
Ila mfano dili imetikiiii....[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Weka kwanza akilini kwanza ..Hazard akae winga , Pedro/willian ndani ...moses ndaniiii ....alonsoo ndaniiiii ...Mkata umeme Kantelee ndaniiiii ....sijamaliza Bakayoko ndaniiiiiii ....bwanabwanaaaaaaa nyuma sina hata la kuongeza mawazir wa ulinzi wanajitoshelezaa....
Turudi kwenye mada[emoji4] [emoji4] [emoji4] ....spidi za huyu jamaaa weka vyengaa vya Hazard na shoto la pedro .....hasikwambie mtu tutachukiwa na wengiii
Nawaza tu ....
Ila cha kufanya ngoja nifanye ku subscribe kwenye acount zake ...
Asante shemeji sakayoAsante shemeji kwa magazeti
MUTV ndo niliyomaainisha kusema AzamTv maana ipo huko na hata DStvAngalia hata Man Untd Tv
Huwa wanaonesha hadi training session
BarikiwaAsante shemeji sakayo
Tuko salama kabisa shemeji, vip familia yakoNaamini nyote mmeamshwa salama
[emoji109] [emoji109] [emoji109]tuko pamoja
habari za asubuhi familia
siku njema
mdau jichange elfu tatu ukawachek everton...Achana nao
Nasubiri game za Man Utd pre season nacheki zote AzamTv hata kama ni Usiku wa maneno na alfajiri ...kitaeleweka tu
Kwangu soka !!
.....
Pamoja sana mzeewakungoaAsante mkuu kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo.
Huwa nyoka wakimuona wanatoka ndukiHuyu mdudu shida sio kula tu bali anapiga hatari
....
Ankali za asubuhiMorning family.....
Leo katika historia itawajia hivi punde tu....
Wenzetu wanajua kazi zaoHiyo ya mwanamke kutupwa jela huko kwa Malkia ni balaa tupu
Wapo makini kwenye investigation
....
Pamoja sana ankali JJAsante sana kwa magazeti Uncle wangu wa dhahabu
HaaaaahaaaaAhsante mdau
Siku hizi meza za magazeti tumewaachia washamba kitaa wanasimama na kujazana km nzi na kutushangaa ambao hatukodoi macho kumbe wajanja tushasoma kupitia KF
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante mkuuShululu kwa magazeti ubarikiwe
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app