Makapuku Forum

In summary. ...

[emoji117] Aliyekuwa rais wa Brazil, Luiz Ignacio Lula da Silva, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa kwa mashtaka ya ufisadi.

[emoji117] Leo klabu ya soka ya Everton kutoka Uingereza inacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na Timu ya Gor Mahia kutoka Nchini kenya

[emoji117] Mashindano ya riadha yanaendelea nchini Nairobi, Nchini Kenya, mamia ya vijana hufanya mazoezi kila siku ili kupata nafasi ya kuiwakilisha nchi.

[emoji117] Malkia wa rhumba duniani Mbilia Bel alikonga nyoyo za washabiki wake alipozuru Kenya wiki iliyopita , na kuwatumbuiza jijini Nairobi na Kisumu..
 
Asante kwa neno la uzima, mama mchungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…