Makapuku Forum

Amen
 
Asante Rafiki kipenz kwa Data muhimu
 
YEREMIA 17

7.Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA,ambaye BWANA ni tumaini lake,

8 .Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji,Uenezao mizizi yake karibu na mto;Hautaona hofu wakati wa hari ujapo Bali jani lake litakuwa bichi Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua wala hautaacha kuzaa matunda.

BABA asante kutuamsha salama,tulinde tena siku yaleo,tuondoolee makosa yetu tutakase,bariki wasafiri,watoto mashuleni,ponya wagonjwa wafariji wafiwa na yatima mpe kila mmoja wetu hapa MAKAPUKU haja ya moyo wake,tujalie amani tunaomba katika jina la Yesu Amen

NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE


Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Ameeeeniii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…