1/
South Africa
List ingeishaje bila Mzulu kuwepo ?
Kwa % ya maambukizi ya VVU duniani anazidiwa na
Swaziland na Lesotho pekee ila kwa idadi ya waathirika hakunaga kama Sauzi
Wasauzi wapo takribani 55,000,000 kwa idadi ya watu
Huku watu 5,600,000 wakiwa na ngoma yaani tusemetu 10%
Sasa wewe nenda na kiherehere chako kadate na Mzulu ......utajiju !!!
.
.
.
.
.
.
Baadaye kidogo wadau
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........