Makapuku Forum

6/Tanzania
Ferouz aliimba Starehe zimemponza .....Mwanafalsafa akaimba Alikufa kwa ngoma Komba nae pia akaimba kivyake
UKIMWI ni janga Tanzania binafsi ni mtu wa Green City na nimezika ndugu wengi kutokana na hili janga ambalo kwa Tanzania Mbeya ni miongoni mwa vinara....Wanyaki kwa kupenda ngono nafikiri wanajulikana ila pia sababu nyingine ni ya Kijiografia
Kwa wasanii Twanga Pepeta wamepukutishana wenyewe kwa wenyewe kutokana na kupasiana nasikia kuanzia Banza,Aisha Madinda,Diana Aston Villa,Abou Semhando wote walikuwa na ngoma huku Ally Chini mzee wa mafarasi naye nasikia humo
Tanzania ina idafi ya watu zaidi ya Milioni 50
Watanzania zaidi ya 1,400,00 wamejiunga grid ya taifa
.......
 
Swali kwa wanawake;

Cc Shunie na husna muba BlessedHope


Kwanini siku hizi wanawake wengi wanajifungua kwa operation?

NB;

Kuna tetesi zinadai Hospitali za Private zina-influance mtu afanyiwe operation ili wao wapige hela tofauti na hospitali za serikali?

Kujifungua kwa operation Private ni 1.8million hadi 4 milion?

Sasa whats going on behind these? kuna ukweli?
 
Aiseee kweli ni janga
 
Mmmh

Hili gonjwa lisikie tuu mkuu..

Mungu atulinde
 
Aiseeee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…