Wapi kaka nimeleta mzaha?Siku nyingine km unataka kushauriwa kisiriazi basi jitahidi uandike kisiriazi
Ww ndo unayejua km ulidhamiria kuomba ushauri au lah
Anyway haina noma
Karibu tena
......
Hata anichezee akili hanipunguzii lolote... Zaidi nazidi kubarikiwa...Ndo ivo
JF ya now watu hawaaminiki
Unaweza kumshauri vizuri kumbe anakuchezea akili and vise versa
.........
Haya umeeleweka humu kuna washauri wazuri tu wakiona post zako watakusaidiaWapi kaka nimeleta mzaha?
Au pale nilipoandika NB?
Niliandika NB kwa sababu humu JF viongozi wengi wanapita humu hivyo nikaona nitaje moja ya chanzo cha tatizo ili wajue kabisa ni kwa namna gani wanatuumiza wanafunzi kwa tabia yao ya kutunyima mkopo na kutoa sababu zisizokuwa na mashiko.
HahahaTongozo jishaisha me sikunda mghoshi wa aina yeyoshe jf nzaumwa na nyoka nkiona nyasi ngashtuka
haina shida kaka ,zote hizi ni changamoto za kimaisha tu na maskini hudharaurika popote pale aendapo so naona sawa tu.Haya umeeleweka humu kuna washauri wazuri tu wakiona post zako watakusaidia
Usikatishwe tamaa na sisi wachachetuliokujibu 'kimzaha'
........
Sawa dadaHata anichezee akili hanipunguzii lolote... Zaidi nazidi kubarikiwa...
Kama shiida kila mtu anapata shida siyo yeye tu, na Siwezi mlaumu au kumhukumu moja kwa moja, simjui ko siwezi jua hali yake kwa sasa...
Kama ni kweli Mungu amtie nguvu, na kama ni uongoo Mungu pia azidi kumtia nguvu maana ipo siku atabadilika
Basi sawahaina shida kaka ,zote hizi ni changamoto za kimaisha tu na maskini hudharaurika popote pale aendapo so naona sawa tu.
Hahaha
Hao Nyoka Veeepee
Pole sana mkuu Mungu akutie nguvu na atimize hitaji lako bila yeye sisi si kitu kama tumekukwaza labda umeona tusamehe tuhaina shida kaka ,zote hizi ni changamoto za kimaisha tu na maskini hudharaurika popote pale aendapo so naona sawa tu.
Marikiti hapo
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
-Mond-