Pole saaana
Mie simooNdioo Dada tumzike kabisa
Alafu akaula wa mbuziAhahah umenifurahisha sana ujue ulivyomjibu
Nashukuru dada sakayo kwa kunifarijiPole saaana
Usijali Mungu ni muaminifu utafanikiwa.... Usikate tamaa kabisaa, jitume, sali na mwamini Mungu pekee... Binadamu watadhihaki, watakucheka na kukukejeli lakini Mungu kamwe hatokuacha uaibike kamwe...
Achana nao bae... Mate yasikurukieeePunguzeni basi..
Au na mimi nianze kuandika kiarabu huku..?
Nipooo baba DWanawake mliozaa humu nyoosheni vidole..
Nina jambo nataka mnieleze
MmmmhNgoja kesho nitakuwa utumishi...
Nadhani ile agenda ya watu kuweka simu Custody ni muhimu..
Jamaan mkuu sijakudharau mie nisamehe kama nimekukwazaNashukuru dada sakayo kwa kunifariji
ila mwambie dada shunie haya maisha tu kuna kupata na kukosa aache dharau.
Yaani usinikumbushe kabisa LushotoTanga moja
Mwisho wa kunukuu
Pambe tyuuuu na kweli tuna hizo sifa jamanTanga moja
Mwisho wa kunukuu
Ahahha yaan unaanzaje kuleft tutakurudisha kwa lazimaNaleft...
Byeee
Eti sababu tunaongea kilughaAnalia nini kumbe
Kazi kwei kweiJioni njema
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
-Mond-
Ninayo kanzu ya kuzugia
Zanzibara nchi kama wilaya..
Acha tu
Hahaa ila sio comanded kivile kama, kwa wanawake..Ninayo kanzu ya kuzugia
Japo sio Mwislamu
Huko bila kanzu na malapa hapanogi
.......
Usijali mdogo wanguNashukuru dada sakayo kwa kunifariji
ila mwambie dada shunie haya maisha tu kuna kupata na kukosa aache dharau.