Manchester United wanatakiwa kutoa pauni milioni 9 zaidi ili kuweza kufanikisha usajili wa Ivan Perisic, ambapo huenda Old Trafford wakatoa pauni milioni 50. (The Telegraph)
Meneja wa PSG Unay Emery alikutana na wawakilishi wa Klylian Mbappe wiki iliyopita kujaribu kumshawishi mchezaji huyo wa Monaco kwenda Paris. (L'Equipe)
Everton wanataka kuziba pengo la Romelu Lukaku kwa kumsajili Christian Benteke, ingawa Crystal Palace wamesema mshambuliaji huyo hauzwi. (Daily Mirror)