Makapuku Forum

Aiseeeee

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Alinambia atakuja leo jamani...

Mkuu Bitoz unaanzaje kuzinguaana na mtu usiyemjua jamani... Nikiona mtu anataka kuzingua huwa naondoka tu taratibu....
Mwanzo wakari najiunga JF sikujua kwamba wakorofi wamejaa Hivyo mizinguano ikawa kibao

Nowadays sihangahiki nao na sina muda wa kupoteza
Mtu anitusi,nikebehi,fanya hiki na kile naignore tu

Nitapungukiwa nini?
......



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…