BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Punguza wali ObeHi Kapuku hotel mpishi hatendi haki kabisa anko, hivi ni lazima kila mchana tupikiwe ugali?
Wengine ni watu wa wali kwenda mbele, asubuhi tunaanza na vitumbua, mchana biriani , jioni walinazi. Kabla hakujakucha tunagonga kiporo
Kazi njemaNinaendelea vizuri sana, asante. Najua uko poa. Baaadaye kidogo, ninakumiss
Punguza wali Obe
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ndizi,mihogo,matunda zaidi,mboga majani,viazi ,maharge,njegere,choroko,dengu...eti eeh, halafu nile nini? Usiniambie kuhusu ugali?
Sawa mzee wa saa mpyaOkay, nitamuuliza ngoja nimuite husna muba
Kazi njema
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
BarikiwaAsante sana. Break imeisha narudi kibaruani.
Sent from my NOKIJA 3310G using JF mobile app.
Ndizi,mihogo,matunda zaidi,mboga majani,viazi ,maharge,njegere,choroko,dengu
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app