Amen,asante kwa sala mama Mchuchu na ubarikiwe piaBABA MUNGU wa mbinguni asante kutuamsha salama tutakase ,tuongoze,tufundishe Ee Roho Mtakatifu siku ya leo ibarikiwe,tunakuomba tuepushe na mabaya yote tuepushe na dhambi za aina yoyote kwa kunena ,kutenda hata kutotimiza wajibu..tunaomba tuwe wanyenyekevu miongoni mwetu na mbele yako kila mtu akamhesabu mwenzake kuwa ni bora na muhimu katika safari hii ya Kurudi kwako BABA,Safari ambayo inahitaji mshikamano na kutiana moyo,safari ambayo inahitaji nguvu ya Roho Mtakatifu ili tusirudi nyuma katika kumtumikia Mungu wetu.
BABA tunaomba ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,wajane na yatima watie moyo waliopondeka na kukata tamaa wale waliorudi nyuma wainuke tena na wafahamu bado unatupenda na unatusamehe na kutufutia makosa yetu kila iitwapo leo.
Wabariki watoto wetu majumbani na mashuleni wawe na hofu ya MUNGU na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.waimarishe katika masomo yao wawe vichwa na si mikia.
Ponya ndoa,ponya mahusiano,ponya familia na imarisha upendo kati yetu MAKAPUKU
Tuimarishe katika kazi zetu na mipango yetu ikafanikiwe BABA kila mmoja wetu akafaidi matunda ya kazi za mikono yake.
Asante Baba kwakuwa unatupenda na utatenda sawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu naomba na kushukuru
Amen,Asante.
NAWATAKIA SIKU NJEMA YENYE BARAKA
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Wakuu Mungu katuwezesha kuamka salama ....jambo jema
Soon kama kawaida. ...simulizi, UF na dondoo za bbc
Umeamka salama ??
AmeeenBABA MUNGU wa mbinguni asante kutuamsha salama tutakase ,tuongoze,tufundishe Ee Roho Mtakatifu siku ya leo ibarikiwe,tunakuomba tuepushe na mabaya yote tuepushe na dhambi za aina yoyote kwa kunena ,kutenda hata kutotimiza wajibu..tunaomba tuwe wanyenyekevu miongoni mwetu na mbele yako kila mtu akamhesabu mwenzake kuwa ni bora na muhimu katika safari hii ya Kurudi kwako BABA,Safari ambayo inahitaji mshikamano na kutiana moyo,safari ambayo inahitaji nguvu ya Roho Mtakatifu ili tusirudi nyuma katika kumtumikia Mungu wetu.
BABA tunaomba ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,wajane na yatima watie moyo waliopondeka na kukata tamaa wale waliorudi nyuma wainuke tena na wafahamu bado unatupenda na unatusamehe na kutufutia makosa yetu kila iitwapo leo.
Wabariki watoto wetu majumbani na mashuleni wawe na hofu ya MUNGU na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.waimarishe katika masomo yao wawe vichwa na si mikia.
Ponya ndoa,ponya mahusiano,ponya familia na imarisha upendo kati yetu MAKAPUKU
Tuimarishe katika kazi zetu na mipango yetu ikafanikiwe BABA kila mmoja wetu akafaidi matunda ya kazi za mikono yake.
Asante Baba kwakuwa unatupenda na utatenda sawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu naomba na kushukuru
Amen,Asante.
NAWATAKIA SIKU NJEMA YENYE BARAKA
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
MorningWakuu Mungu katuwezesha kuamka salama ....jambo jema
Soon kama kawaida. ...simulizi, UF na dondoo za bbc
Usijali mamyMakubwa ya moto asante
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
MorningMorning
Cjambo shemela akina D wazimaUmeamka salama ??
D mzma kabisa ...Cjambo shemela akina D wazima
Asante uwe na asubuhi njema na utafutaji mwemaD mzma kabisa ...
Umeamkaje dadaAsante uwe na asubuhi njema na utafutaji mwema
Habari yako mzee wa peremendeD mzma kabisa ...
Asante kwa UF,BBC,mengineyo. Hakika hadithi imefika penyewe hadi kila muda Nafungua kuona muendelezo Mr.X,utata ubarikiwe LeeWakuu Mungu katuwezesha kuamka salama ....jambo jema
Soon kama kawaida. ...simulizi, UF na dondoo za bbc
Ubarikiwe LeeAminaaaaa
Asantee sana
Acha niwe mwenyeji wako, karibuuuuHivi huku nako kuna utambulisho? nimejigundua mi mgeni humu
Sijui imekuwaje nawe hulali jmnHulali ndugu??