Makapuku Forum



Umenena vyema huu uzi kila wanaojaribu wanashindwa make kwanza utasikia wanataka wafanya kama makapuku ....wale chizi wa likes wenyewe wanashindana reply nadhani lakini kwa elimu kapuku mwanzo mwisho


...anko, nidai bia. Ila subiri kwanza nitoke kwenye maombi ya jioni

Yaani KF huwa sielewi inashindanishwa na sub forums nyingine kwa vipi. Kuna tofauti ya halua na urojo. Halua haichachi
 
We mfano mzuri unaonekana tulivyo wamoja ...mtu hasipoonekana tu siku moja tunajua huyu hayupo kama ni kutafuta jinsi ya kumpata inafanyikaaa ..MUNGU HATUPE NINI ...


Lets our love shine forever
 
Kama mm hapa

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…