It true,nina mjukuu wangu alikua na shida ya sikio tukampeleka kwa ENT doctor kama wk mbili zilizopita,akamcheki na kutuambia tu stop kusafisha masikio na coton buds,ear wax ni dawa inafanya sikio lijitibu,alikua hajaanza kuongea na usikivu duni tukawa hatuna amani lakini dokta ametuhakikishia ear wax ikirudi atakua vizuri,ukweli watu wengibwanawakwangua sana masikio watoto na zile cotton buds lakini kumbe sio jambo zuri ni kuacha tu labda uchafu uwe mlangoni unachuruzika