Makapuku Forum

Kwa sehemu nakufamu ulivyo, hujui kuremba Bitoz, huwa unaongea unachokiamini bila kujali kitamfurahisha nani na kumuudhi nani.
Mwanzoni ulinipa wakati mgumu kukuelewa, lakini sasa nakuelewa, na hii kwa upande flani ni nzuri kwani hakuna unafiki.
Hii ni faida kwako utakuwa na maisha marefu, huna cha kuhifadhi ndani kinafiki.
Nakuelewa mkuu
 
Naota auuu....


Jimena ukuje huku
 
Kawaida tu
Msimamo ni muhimu maana huwezi kumridhisha kila mtu
Hata Yesu alifanya mazuri mengi lakini kilichompata hadi akarudi kwa babaye kila mtu anajua

......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…