MATHAYO 5
14.Ninyi ni nuru ya ulimwengu,Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.
15.Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi,bali juu ya kiango;nayo yawaangaza wote walio nyumbani.
16.Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu,wapate kuyaona matendo yenu mema,wamtukuze BABA yenu aliye mbinguni.
MBARIKIWE