Basi tuheshimu faragha yakeKuna tatizo mdau,Shunie kaaga asubuhi anatoka kwa muda,atarudi..ukweli imetushtua kutokana na mazoea na namna Shunie alivyo mshiriki mzuri,nilitamani kujua sababu hajaiweka wazi kwa mtu yoyote,kila mtu amekua anauliza so tumeona jambo jema tumuombee..kuna wakati mtu anahitaji time alone..imsadie kumpa amani na kuweka mambo yake sawa kiakili,kiroho nk hivyo tuungane kumwombea apate amani..asante
Kwanini kaka BitozHumu kuna mtu kapatwa na tatizo au
Mbona sijaelewa maana siku hizi ziingii sana nina ishu imekaba
Nijuzeni hata kwa ufupi tu
.....
...siku tatu tu ndo hutoingia humu protesting kutokuonekana kwa shedede , okay.
Na sababu ya kuchagua siku tatu ni Nini? Kwanini isiwe siku moja, mbili , au 7?
Je nikijiaminisha kuwa leo bando lako limeisha hivyo utareload siku tatu nitakuwa nimekosea?
Anyway hata sielewi najiuliza maswali mengi ya nini wakati leo ni Furahiday.
Nikweli mdauBasi tuheshimu faragha yake
Tumuombee amalize tatizo linalomkabili salama
Alipoandika Kimario sikuelewa kitu maana meseji za nyuma sikusoma
......
NdioooUlifikiri me?
.....
Sijaelewaaaa sijui ndio macho ya kizee,ni nini hii T wa Sakayo.
Sumu hiyo mama mchuchuSijaelewaaaa sijui ndio macho ya kizee,ni nini hii T wa Sakayo.
HatujamboHamjambo
Basi kaa nayo tuSumu hiyo mama mchuchu
Mi sijambo VP weweHamjambo
Yeye ndo anayejuaNdiooo
Sakayo lazima awe muathirika wa hii sumu indirectlyBasi kaa nayo tuusiweke ndani na karibu na Sakayo..irudishe ulikotoa
Wanazika lini, karibuOk,kuna msiba kwa mzee Mganga mkoani,nitakuja kuzika.(kibaha)
Kuna tatizo mdau,Shunie kaaga asubuhi anatoka kwa muda,atarudi..ukweli imetushtua kutokana na mazoea na namna Shunie alivyo mshiriki mzuri,nilitamani kujua sababu hajaiweka wazi kwa mtu yoyote,kila mtu amekua anauliza so tumeona jambo jema tumuombee..kuna wakati mtu anahitaji time alone..imsadie kumpa amani na kuweka mambo yake sawa kiakili,kiroho nk hivyo tuungane kumwombea apate amani..asante
She is ok ...wala usiofu mambo tu anayashughulikiaa ..make anataka porini twende woteMie dadake lakini ujue kuna privacy ya mtu... Kama hajisikii kuniambia naheshimu hilo.. Ila najua she's not okay
Atarudi soon kuna mambo anayaweka sawaKuna tatizo mdau,Shunie kaaga asubuhi anatoka kwa muda,atarudi..ukweli imetushtua kutokana na mazoea na namna Shunie alivyo mshiriki mzuri,nilitamani kujua sababu hajaiweka wazi kwa mtu yoyote,kila mtu amekua anauliza so tumeona jambo jema tumuombee..kuna wakati mtu anahitaji time alone..imsadie kumpa amani na kuweka mambo yake sawa kiakili,kiroho nk hivyo tuungane kumwombea apate amani..asante
Basi kaa nayo tuusiweke ndani na karibu na Sakayo..irudishe ulikotoa