BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
....heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana watairithi nchi....MATHAYO 5
3.Heri walio masikini wa roho,maana ufalme wa mbinguni ni wao.
4.Heri wenye huzuni Maana hao watafarijika.
Mpendwa usiku wa leo naomba nikwambie,hata kama unapitia mateso gani kama hujamuacha MUNGU Ufalme wa Mungu ni wako na utafarijika..usimwche MUNGU kwa ajili ya shida yoyote..ng'ang'ania kwake
USIKU MWEMA DAMU YA YESU ITUFUNIKE
Taarifa ya Matatizo ya Kiufundi
wadau, nasikitika kwa kipengele cha Muziki kutotimiza lengo lake kikamilifu. Maandishi yalikuwa sahihi sema muziki ulitatiza, nilifanya ninachofanya kila siku kuweka muziki.
Nimekuwa na experience some net interruptions na ninajaribu kufuatilia hiki maana kinanikosesha mambo mengi ikiwemo kipengele hiki ninachokipenda.
Naiweka tena clip hii (YouTube) ya historia ya Shaaban Dede
Naamini itakaa sawa sasa
Nawashukuru sana lee empire , shululu ,BlessedHope , Tumosa , husna muba kwa kushare nami mlichokutana nacho. Na wadau wote mnaofuatilia KF
Lol! Basi nilishtuka kishenzi nikadhani utafanyia humu kweli. Kumbe usafi tu. Ngoja nikuletee dekiousafi mpendwa
MATHAYO 5
3.Heri walio masikini wa roho,maana ufalme wa mbinguni ni wao.
4.Heri wenye huzuni Maana hao watafarijika.
Mpendwa usiku wa leo naomba nikwambie,hata kama unapitia mateso gani kama hujamuacha MUNGU Ufalme wa Mungu ni wako na utafarijika..usimwche MUNGU kwa ajili ya shida yoyote..ng'ang'ania kwake
USIKU MWEMA DAMU YA YESU ITUFUNIKE
Lol! Basi nilishtuka kishenzi nikadhani utafanyia humu kweli. Kumbe usafi tu. Ngoja nikuletee dekio
Ubarikiwe ObeAmen mama mtumishi wa Mungu. Asante kwa mawaidha mazuri ya kutia moyo na kunimotivate angalau kujaribu kutenda mema na kutokata tamaa. Usiku mwema
Ubarikiwe Husna asante sana....heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana watairithi nchi....
Amen mamii
MhNataka kufanya humu nilikuwa nasubiri mlale wooote
Aiseeusafi mpendwa
Amen, Asante mama mchungaji kwa maombi ya usiku, nawe pia ufunikwe kwa damu ya YesuMATHAYO 5
3.Heri walio masikini wa roho,maana ufalme wa mbinguni ni wao.
4.Heri wenye huzuni Maana hao watafarijika.
Mpendwa usiku wa leo naomba nikwambie,hata kama unapitia mateso gani kama hujamuacha MUNGU Ufalme wa Mungu ni wako na utafarijika..usimwche MUNGU kwa ajili ya shida yoyote..ng'ang'ania kwake
USIKU MWEMA DAMU YA YESU ITUFUNIKE
Lol! Basi nilishtuka kishenzi nikadhani utafanyia humu kweli. Kumbe usafi tu. Ngoja nikuletee dekio
Wee nn kalale hukooo