Makapuku Forum

Zamani kidogo kitaani nimewahi kushuhudia ndoa ya mkeka ila kisheria ndoa ni makubaliano/maridhiano baina ya watu wawili kuishi pamoja
"Kuwalazimisha" kunaifanya iwe batili
........
ndoa ya mkeka sie huku tunaiita "ndoa ya mwajala"

Mukifumwa mnapigwa mwajala
Ee Sheba ee Sheba ee Sheba eeeeeeeeeeee sheeeeebaaa
 
Ha ahhahahaha, mjomba nami nakuona tu. Si nilikuambia jana beki hazikabi sasa nimeshaimarisha safu ya ushambuliaji. Hadi muda huu wao wanalia Mimi ninacheka.

Uko poa lakini anko. Ulifika salama naamini?
Binamu nimeona ...ila muhimu unikumbuke kwenye ufalme ....


Nilifika salama sorry mambo mengi nilisahau update
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…