Makapuku Forum

nimecheka sana hapo kwenye chizi haponi hutuliza mzuka
Nafikiri siku anamfunga Sauzi alikuwa kam eza dozi na watu tukaamini kapona
Leo kasahau kumeza dawa tuliokuwa tunamsifia wote tumeumbuka
Kichaa huwa haponi isipokuwa Siku nyingine huamka vizuri na Siku nyingine vibaya

Hata kitaani yupo baadhi ya siku huwa sawa ila siku nyingine kutembea uchi wa mnyama
Ni kosa kumwekea dhamana chizi
...



 
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…