MUNGU BABA MWENYEZI Asante kutuamsha salama,tutakase kwa damu takatifu ya mwanao,tuongoze,tufufundishe ,tusimamie tupe moyo safi tutende mema,tufanye kazi kwa bidii,tutengeze amani kwa gharama yoyote,tuchukuliane kwa upendo na tuwasamehe wanaotukosea kama wewe unavyotusamehe,tuepushe na hatari zote za mwili na roho.
Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako,mapenzi yako yatimizwe katika jina la Yesu,Amen
SIKU NJEMA MBARIKIWE