Mi nishaachana na Jukwaa la siasa nikijisikia naendaga kukodoa macho tuMi na siasa wapi na wapi mkuu??!!
Jf yangu ni hapa kapuku tu na kidoooogo MMU
Juu ya mwembe sio chini ya mwembeBaadae pale chini ya mwembe?!
maunjanja kwa husna.. usije ukanuna mwaka mzima siku maji yakimwagikaMaujanja ya nini tena mdau?
Yaani kwangu mimi "mdau" ndo limenikaa kuliko mkuuAsante mdauu
Mi nishaachana na Jukwaa la siasa nikijisikia naendaga kukodoa macho tu
MMU siendi kabisa kumejaa stori za uwongo wa wazi wazi
....
I see,alifanikiwa ila makovu yakibaki nayo ni tatizo mtu unaugua tumbo,gesi kujaa marakwa mara
Pia ni special case carsLakini yako vizuri,watakua wanajali service sana..
Wengi sana why?
Pole zake,lakini hii renwable energybinapatikana kwa kila mtu akiugua?hapa sijaelewaEnd
.....
Asante sana mkuu Bitoz kwa je wajua ni nzuri,ubarikiweEnd
.....
Mi siwezi kupanda banaaJuu ya mwembe sio chini ya mwembe
...
Hayawezi kumwagika hayo maji maana nayatunza kweli yaanimaunjanja kwa husna.. usije ukanuna mwaka mzima siku maji yakimwagika
Kwann mkuu?!Yaani kwangu mimi "mdau" ndo limenikaa kuliko mkuu
....
nakuona unavyo kaza buti.. utaki masihara atii! kupoteza mali yako kizembe utakiHayawezi kumwagika hayo maji maana nayatunza kweli yaani
Nikaribishe jamvini hapoHayawezi kumwagika hayo maji maana nayatunza kweli yaani
Pia niligundua kuna watu wapo kimaslahi yaani wapo wanaolipwa na vyama/ wanasiasa kwa shughuli maalum...
Hamna shida mbonaYaani kwangu mimi "mdau" ndo limenikaa kuliko mkuu
....