Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 4, 2017 #230,181 Obe said: Nitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa. Click to expand...
Obe said: Nitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa. Click to expand...
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,400 Reaction score 10,856 Jul 4, 2017 #230,183 Bitoz said: Tuvumilie upuuzi wa wanetu .... Click to expand... huyu mtoto kibongo bongo na stress zetu angekula kichapo hapo.. baada ya hapo ni kukojoa na kulala
Bitoz said: Tuvumilie upuuzi wa wanetu .... Click to expand... huyu mtoto kibongo bongo na stress zetu angekula kichapo hapo.. baada ya hapo ni kukojoa na kulala
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Jul 4, 2017 #230,184 Obe said: salamu zako nimezipokea mpenzi, naona umebadili avatar, hongera. Click to expand... Asante mpendwa
Obe said: salamu zako nimezipokea mpenzi, naona umebadili avatar, hongera. Click to expand... Asante mpendwa
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,400 Reaction score 10,856 Jul 4, 2017 #230,186 Obe said: Nitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa. Click to expand... haha! punguza wenge mdau.. au ongeza maujanja mambo yatakuwa poa
Obe said: Nitakununia wewe nitaweza!? Nitanuna mwisho wa siku utanitumia maua siku itaisha poa. Click to expand... haha! punguza wenge mdau.. au ongeza maujanja mambo yatakuwa poa
Clkey JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 5,720 Reaction score 15,352 Jul 4, 2017 #230,195 Bitoz said: Haaminiki huyo David Seaman na Jens Lehmann ndo makipa niliowaelewa pale Gunners waliofuata wote mapazia tu hata Petr Cech kaja wakati makali yashapungua .... Click to expand... Hvyo hvyo bwana unajua kila kitu huwa kinapita wakati mwingine na mazuri yake, wacha tuhangaike na hawa
Bitoz said: Haaminiki huyo David Seaman na Jens Lehmann ndo makipa niliowaelewa pale Gunners waliofuata wote mapazia tu hata Petr Cech kaja wakati makali yashapungua .... Click to expand... Hvyo hvyo bwana unajua kila kitu huwa kinapita wakati mwingine na mazuri yake, wacha tuhangaike na hawa
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jul 4, 2017 #230,196 torvic said: huyu mtoto kibongo bongo na stress zetu angekula kichapo hapo.. baada ya hapo ni kukojoa na kulala Click to expand... Labda... .....
torvic said: huyu mtoto kibongo bongo na stress zetu angekula kichapo hapo.. baada ya hapo ni kukojoa na kulala Click to expand... Labda... .....