Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu ungekuwa upande wangu anayoyafanya anko wako usingefurahia kabisa tena ungekuwa mkali kama anko wake


Lol! Niko upande wako na unajua hilo, yaani nimemkasirikia anko hadi na yeye kaamua kunitishia maisha sasa kama vipi tukae kama kamati. Unaonaje tukienda polisi akamatwe tuseme kwamba ametishiwa kutekwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom