Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ila nisamehee soksi nilikuibiaa japo nilizivalia mbelee...najua anko, ila si unajua tena lazima niseme niliyosema ili kumpoza aunt. ila koti lilikupendeza sana yaani ulionekana mpya kwenye koti kuukuu
Ila naona katabia kako ka kunikisha soksi bado hakajafaa
