binamu usinijazeeeee nakuona ujue upande uliokuwepoNiko sambamba na wewe, upande wako wewe aunt yangu, yaani ukikasirika mimi nachukia na anayekuchukiza namkasirikia. Si umeona nilivyomchenjia anko.
Tuko pamoja
Asante kwa taarifa mkuuKuna uzi unawakimbiza balaa unaitwa uzi wa kupeana likes
Ningeshangaa shemela unitengeNiko upande wako
Hapana dada mitala siwezi jamaanTena wa nyama
Mzee wa peremendeOngezeaa pedesheee mme ya shunie na demi
Wewe si unaona kulala raha ...sema keshokutwa ntapasha nae tupashaneeKwanza kata zoea na mke wangu mkuu
Ni kweliiii hao ndio utakaoenda nao kigamboni na mama yangu hawapokeiiii
Hahaha...yeah, uko sahihi kabisa aunt! Bora wa mbali hauoni shida, ila sio wa karibu yaani hata wakikonyezana gizani unasikia
Wee sawa nichenjieeNiko sambamba na wewe, upande wako wewe aunt yangu, yaani ukikasirika mimi nachukia na anayekuchukiza namkasirikia. Si umeona nilivyomchenjia anko.
Tuko pamoja
Ujue shemela wangu anamoyoEtiii nimeongopaa ??
Kwa hiyooKuna uzi unawakimbiza balaa unaitwa uzi wa kupeana likes
Nimeona , tatizo naye alimsifiaAmekuja
Kakuta mwanamke mwingine kajaa ndani
Binamu ungekuwa upande wangu anayoyafanya anko wako usingefurahia kabisa tena ungekuwa mkali kama anko wakeUnajua nini aunt, pale nilikuwa namchombeza tu anko aachane na wazo lake la kuoa mke mwingine maana wewe hupendi. Ila kiukweli niko upande wako wewe
Binamu anakujazajeee ..unamkosea heshimabinamu usinijazeeeee nakuona ujue upande uliokuwepo
Mwenzangu mie nimesoma Amazon kesho jobHakuna kuondoka dada hapa ni mkesha mpaka asubuhi