Aisee, mpuuze tu na usijali anachokisemaMarafiki zangu naombeni mnisaidie kitu kimoja, kuna staff mwenzang ananinyanyasaga sana kazini wapendwa, karibia kila wakati, akileta kazi yake na matusi juu,nimevumilia lkn imefikia hatua nmechoka natamani hata kuacha kazi,nifanyeje basi jamani
[emoji4] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Sinaga hayo mambo nimeridhika na kufuga bata
Kwa ID ningeamua hivyo ningeshawaliza zamani sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
Sawa rafiki yanguAisee, mpuuze tu na usijali anachokisema
Baadaye yeye ndio atajiona mjinga
Haaaaahaaaa, sakayo upoMama ata usijidanganyee kutuma sms simu nimeiwasha hapa naona text zako ...kifungo chake bado kumuachiaa ...au nikujibu uaminii ??
Hey wanagrop jaman mko pouwa nimewamic san[emoji4] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
TupooHey wanagrop jaman mko pouwa nimewamic san
NshamjibuuHaaaaahaaaa, sakayo upo
Mic sana hukuTupoo
Unamaanisha niniMic sana huku
Ni me au keLee sijui chochote why ananichukia kiasi hcho,na hapana zaidi ya kazi na boss wangu hakuna kingine
Ndo kilichokuletaa ??Hey wanafamilly mko pouw naisi mko pouwa wazeee nilikuwa nasema Kama kunamtu anataka Groap la michezooo anitafute WhatsApp mamba 0767344840
Tupo Gado[emoji123]Hey wanagrop jaman mko pouwa nimewamic san
MeNi me au ke
Namaanisha nina mda san sijafika huju wap originUnamaanisha nini
Na wewe piaaSiku njema guys
Kuna mwalim wangu vipNamaanisha nina mda san sijafika huju wap origin
OkNamaanisha nina mda san sijafika huju wap origin
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mnyonge tuMmmmh. Lee acha hizo