Makapuku Forum

Huwa simjibu hata Mara moja ila Leo ndo nmemjibu tena nilimwambia ataninyanyasa hadi lini ama shida yake nn aseme hakujibu akaondoka
 
Huwa simjibu hata Mara moja ila Leo ndo nmemjibu tena nilimwambia ataninyanyasa hadi lini ama shida yake nn aseme hakujibu akaondoka
Wewe peleleza kwanza uhusiano wake na boss ujue kama boss labda ni "mtu wake" ...ukijua hana ukaribu wowote na boss basi kashtaki kwa boss atajua cha kukushauri au yeye mwenyewe kuchukua hatua

Km ni mtu wake yaani ana ukaribu na boss basi unatakiwa tu kuwa mpole na kutoumfuata boss bali changamoto hiyo uikabili mwenyewe kwa kumpotezea tu maana kesi ya ngedere ukimpa nyani lazima apendelewe
.........
 
Ahsante sana nitalifanyia kazi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…