Ok wewe unahisi y anafanya hivo ??Sina utani nae wala si kiongozi wangu,yy n mchora ramani tu anaweza akawa na kazi yake akaniletea nikwambia nna kazi subiri nimalize anaanza matusi
Lee sijui chochote why ananichukia kiasi hcho,na hapana zaidi ya kazi na boss wangu hakuna kingineOk wewe unahisi y anafanya hivo ??
Je wewe una connection yoyote kumzidi yeye kazin nikimanisha kwa wakubwa wako wa kazii ??
Dear hope hujanielewa ...kwenye connection namaanisha je wewe una kazini ni mmojawapo ya wale wanye connections nzuri za kikazi lakin hapo ofisin...nitumie mfano wa HRLee sijui chochote why ananichukia kiasi hcho,na hapana zaidi ya kazi na boss wangu hakuna kingine
Tukusaidie kukushauri kisheria au kishikaji tu ?Marafiki zangu naombeni mnisaidie kitu kimoja, kuna staff mwenzang ananinyanyasaga sana kazini wapendwa, karibia kila wakati, akileta kazi yake na matusi juu,nimevumilia lkn imefikia hatua nmechoka natamani hata kuacha kazi,nifanyeje basi jamani
Anza kishikajiiiiTukusaidie kukushauri kisheria au kishikaji tu ?
......
Haya bwanaNilimuuliza kaleta dharau kwa kumsamehe kutoivunja ikabidii nimnyanganyee
Hapana kabisaa,tena yy yupo cjuu yanguDear hope hujanielewa ...kwenye connection namaanisha je wewe una kazini ni mmojawapo ya wale wanye connections nzuri za kikazi lakin hapo ofisin...nitumie mfano wa HR
Jibu nioneeeMama ata usijidanganyee kutuma sms simu nimeiwasha hapa naona text zako ...kifungo chake bado kumuachiaa ...au nikujibu uaminii ??
Kishikaji kwanzaTukusaidie kukushauri kisheria au kishikaji tu ?
Kamwe huwezi kupambana na boss ....utaumia
......
MmmmhHapana kabisaa,tena yy yupo cjuu yangu
Mmmmh. Lee acha hizoJukwaani atasomekaa baadaee...ngoja atulie kwanza
Kumbe kakuaga bas vzr ngoja tumsubiri akirejea!Leo kaenda clinic
Nimesoma post zilizofuataAnza kishikajiiii
Kweliii ila akitimiza niliyomwambia namrudishiaa ...Mmmmh. Lee acha hizo
Una shida naee ??Kumbe kakuaga bas vzr ngoja tumsubiri akirejea!
Kuna post ishafuataKishikaji kwanza
Sijawahi kuwa na shida nae, labda kama yy ana lakeUna shida naee ??
Yapi hayooo shem lakiniKweliii ila akitimiza niliyomwambia namrudishiaa ...
Ndio nashida nae mkuu!Una shida naee ??