Makapuku Forum

Wewe kunimisi mimi ni lazima ila niseme "tulimisiana" maana mi nilikumisi pia



[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji259] [emoji259] [emoji259] [emoji259]


Husna, mpendwa wangu mwenyewe, asante kwa maua.

Ushauri ulionipa pale juu naufanyia kazi ila ni ngumu kuutekeleza, najua naweza kufanya fake life, pretence. Lakini mwisho wa siku narudi kuwa me.

Usela, no, sio msela mimi sema napenda kuyafanya maisha yangu kuwa rahisi na yenye furaha.
 
...anko yaani acha tu, na hivi safari ya kigamboni nimeitangaza basi wabaya wangu hawachelewi kuivunja.

Ila anko ule unyunyu yaani ndo ukaamua kuupulizia wote kwenye lile koti chafu😱, sasa nimeliona yaani linanukia sijui maapple au mafenesi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…