Makapuku Forum

Husnaa..
 
...anko yaani acha tu, na hivi safari ya kigamboni nimeitangaza basi wabaya wangu hawachelewi kuivunja.

Ila anko ule unyunyu yaani ndo ukaamua kuupulizia wote kwenye lile koti chafu😱, sasa nimeliona yaani linanukia sijui maapple au mafenesi
Bhinamu wabaya wote niachie mm nakula nao chapati mojaaa kama sio kitumbua. ...

Sasa ningelifanyajee make ukishaipeleka kule ningeliipataaa.....???

Koti langu liachee na uchafu make sasa lishakuwa reservior ya pafyumu ...nalifunika kwenye begiii ata boxer inanunukiaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…