Makapuku Forum

Wanasiasa sio watu wa kuwaamini
 
Leo katika Historia

2/7/1999 - Mario Puzo anafariki Dunia.

Huyu ni mwandishi maarufu sana ambapo ameandika Riwaya maarufu za Godfather.

Alizaliwa Oktoba 15 1920
Alikuwa pia ni mwandishi wa habari na naandika script
The Godfather kilitoka mwaka 1969 ikiwa ni simulizi kuhusu MAFIA na kutikisa soko la vitabu vilivyo ....haikuishia hapo kikatumika kutengezea mfululizo wa filamu 3

Wabongo tupende kusoma vitabu kuna mambo matamu humo tena siku hizi vipi free tu mtandaoni ni wewe na banco lako tu
......
 
Sorry mkuu..Huyu sio yule aliyeletewa Bomu kwemye bahasha ndo akafa..au mimi ndo nimechanganya madesa..
 
Leo katika Historia

2/7/1994 - Mchezaji Andres Escobar wa Colombia anapigwa risasi na kufariki huko kwao Colombia baada ya kujifunga goli kwenye kombe la Dunia na kusababisha timu yake itolewe kwenye mashindano.

Ilikuwa ni kwenye Fainali za Kombe la Dunia 1994 nchini Marekani.....alijifunga goli lililopipa ushindi Marekani wa goli 2;1

Wazee wa kubet ndo waliomfanyizia.....kaa mbali na wacheza kamari
........
 
Sorry mkuu..Huyu sio yule aliyeletewa Bomu kwemye bahasha ndo akafa..au mimi ndo nimechanganya madesa..
Huyo atakuwa ni mwingine,
Kama picha ulivyoona

Mwaka 1960 baada ya Congo kupata uhuru tu ukatokea mvurugano jeshini Hivyo tuseme migogoro
Sasaumumba akaomba msaada kwa Marekani na ,Ubelgiji na Imoja wa Maarifa ili wamsaidie kupambana na waKatanga ila wote wakamkaushia tu
Akaenda kuimba msaada kwa Urusi(Soviet Union} Hivyo Wamarekani wakachukia ....Wakawatumia CIA ambao walishirikiana na Mobutu kummaliza
.........
 
Duuuh nisikuchoshe sana nitaingia chimbo nikafukunyue sise
Aisee maana history niliuosoma nahisi ni tofauti na yako..
Thanks.
-Mond-
 
Hao ni wanasiasa
Watakuuliza kichwa bure mdau
Njoo tufuge tu bata
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…