Nimefurahia sanaMama mchuchu tunapenda ufurahi jamaan naona umeyafurahia mauwa niliyokupa ya binamu yangu
PoleeeeKuna mtu aliweka uzi huko jukwa la habari mchanganyiko kataja watu mie apa mbea
Woyooooo binamu umesikia nimuongeze tena mama mchuchu mauwa binamu
Asante Mama nishapoa ndio mambo ya jf ila namlaumu sana aliyeniwekeaga uzi na utani wake
Asante Obe Ubarikiwe,tutakutana kwa Maveteran kesho[emoji4] [emoji4] [emoji4]Muziki: Ni Jumamosi Tulivu
Huwa hatuweki maneno Jumamosi, tunabaki kusoma ya kwenye kanga tu maana kila mmoja anakuwa ametulia nyumbani na kwa sisi tunaokaa kwenye nyumba za kupanga basi ni burudani tu, huku kunakaangwa nyama na biriani , hapa ndondo na tembele zote zikichagizwa na maneno mazuri ya kwenye kanga. Vitenge subiri mbio za mwenge ndo uvae.
Ni jumamosi wadau, nawasalimu sana na kiufupi wikend ndo inaisha hivyo. Umuhimu wako wewe kapuku hapa Jukwaani sina namna ya kuuelezea maneno yakatosheleza. Yaani ni nusu na robo jumlisha roba
Muziki sasa, leo turudi bakulutu kidogo. Nani hapendi muziki ambao ulikuwa ukipangiliwa sawia. Studio kubwa kama kiwanja cha mpira, sio studio za kileo ambazo kachumba kadogo tu kama tule tuvyumba twa pale Buguruni au Temeke basi studio inatosha kutoa muziki wa kina Diamond. Tuyaache haya usije uliza nimejuaje, hata Kigamboni si hutu tuvyumba pendwa tupo pale karibu na viwanja vya Shababi? Huwa naenda kupasha kama veteraani kwenye viwanja hivi, ondoa shaka. Ukitaka nitakupeleka, tunapasha Jumamosi asubuhi na Jpili.
Burudika na sauti-midundo mitamu ya wakongwe
Unamfahamu?Asante Mama nishapoa ndio mambo ya jf ila namlaumu sana aliyeniwekeaga uzi na utani wake
Binamu nyimbo yangu [emoji134]Muziki: Ni Jumamosi Tulivu
Huwa hatuweki maneno Jumamosi, tunabaki kusoma ya kwenye kanga tu maana kila mmoja anakuwa ametulia nyumbani na kwa sisi tunaokaa kwenye nyumba za kupanga basi ni burudani tu, huku kunakaangwa nyama na biriani , hapa ndondo na tembele zote zikichagizwa na maneno mazuri ya kwenye kanga. Vitenge subiri mbio za mwenge ndo uvae.
Ni jumamosi wadau, nawasalimu sana na kiufupi wikend ndo inaisha hivyo. Umuhimu wako wewe kapuku hapa Jukwaani sina namna ya kuuelezea maneno yakatosheleza. Yaani ni nusu na robo jumlisha roba
Muziki sasa, leo turudi bakulutu kidogo. Nani hapendi muziki ambao ulikuwa ukipangiliwa sawia. Studio kubwa kama kiwanja cha mpira, sio studio za kileo ambazo kachumba kadogo tu kama tule tuvyumba twa pale Buguruni au Temeke basi studio inatosha kutoa muziki wa kina Diamond. Tuyaache haya usije uliza nimejuaje, hata Kigamboni si hutu tuvyumba pendwa tupo pale karibu na viwanja vya Shababi? Huwa naenda kupasha kama veteraani kwenye viwanja hivi, ondoa shaka. Ukitaka nitakupeleka, tunapasha Jumamosi asubuhi na Jpili.
Burudika na sauti-midundo mitamu ya wakongwe
Wala simfahamu aliamua tu hata kuchat nae sijawahi
[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji263] [emoji263] [emoji255] [emoji259] [emoji257] [emoji254] [emoji253] [emoji253] [emoji7]Asante Obe Ubarikiwe,tutakutana kwa Maveteran kesho[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Sijaona pa kuchafuliwa as long as no one knows you in reality wewe inakupunguzia nini..Au dada ulifurahia jamaan me kuchafuliwa
Dada unaongea tu sawa hainipunguzii lakini watu hawajui hivyo ila nilicheka na comment za kampelewele nimeshaitoa niliipenda tuSijaona pa kuchafuliwa as long as no one knows you in reality wewe inakupunguzia nini..
Na hiyo avatar haina maadili bhana
Nisaidie kutoa jibu basi..[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Muda wa kuolewa haujafika. Bado nipo nipo
Assist???Ahsante sio makosa yangu bali ni Upungufu wa maneno mdomoni Nipigie Assist kwa Demi..
Binamu asante sana jamaan yaan umeifurahisha roho yangu kigamboni kwa mama mchuchu tunaenda binamu we kaulambe tuJumamosi Fleva
Habari Makapuku wenzangu, ni jumamosi nyingine na kwa heshima kabisa nawakaribisha katika Jumamosi Fleva, nimepata hii idea baada ya kuona post ya Shunie na wadau wengine hata BlessedHope naye anavutiwa na fleva za kileo. kwanini nawataja hawa na kuwajuisha na wengi humu makapuku, sababu ni moja tu, jana nilipandisha wimbo wa Chidinma na ulilaikiwa na wengi, na kama mdau naamini tukiwa na hiki ki Jumamosi Fleva itakuwa poa sana.
Hapa tutakuwa tunapata miziki ya kileo zaidi, si ya zamani, miziki maarufu ya kileo. Usichoke kutoa maoni au kusema wimbo gani unapenda uwepo hapa. Wadau Bitoz anko lee empire , shululu ,Tumosa , Clkey ,Sakayo ,Nyagei mzeewakungoa , Transcend , Mondray , EMMYGUY , husna muba na wengine nilosahau kuwatag nakaribisha maoni yenu kuhusu hii Jumamosi Fleva.
Maoni yako ni muhimu na hata ukiweza unaweza kuichukua uwe unapandisha Jumamosi Fleva kila siku au utavyoona inafaa. na kama nitakuwa nayo mie basi unaruhusiwa kupendekeza muziki ukishindwa naweka ninaovutiwa nao.
na leo naanza na chagua la aunt yangu Shunie wimbo Leo toka kwa Kassim Mganga
Burudika