BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
...simu yangu haina maua, au sijui yako wapi? maana mimi naona viemoj vichache tu na hata kile chemnye mimba nadhani hakipo tena, labda wamekirudisha shule
Binamu wewe jamaam mbona upo hivi ebu tuma vilivyopo na uendelee kutafuta
Hahaha asante
Mama mchuchu nakupa haya kwa niaba ya binamu yangu obe
Mama mchuchu nakupa haya kwa niaba ya binamu yangu obe
...ha hahahaha, utadhani natania! Hivi ndo vilivyopo
bora nitumie hiviππ
atanielewa vipi nikituma hiviππ‘ππ
bora hivi ππ
hapa ndo ataniona sifaiπ±π³
chizi si chizi, labda chizi maarifaππ΅
MmmmhIsingewezekana dada wamechafuliwa wengi na inaonekana wengine wamereport
PooaaTAFADHARI HII INAYOKUJA ISINIPITE..
FANYA TAGGING YA MEMBERS WOTE HUMU..
muda unabana leo nimetoroka tu..
Kuna nini ?? Tell meNimeuona aisee husna kanihalibia sana jina
Kuna nnNilireport kwa mods
Sio kwenye makinikiaa tu wewe ndo unanikubariiiseriously anko. Asante sana kwa hii kitu, yaani ni tamu hadi jina limenitoka nakumbuka wahusika tu.
Nakuaminia na unalijua hilo
...simu yangu haina maua, au sijui yako wapi? maana mimi naona viemoj vichache tu na hata kile chemnye mimba nadhani hakipo tena, labda wamekirudisha shule
Ewaaaaaah..kwa hapa aunt sina cha kuongeza, yaani kama ni pasi nishatanguliziwa, mbio zangu tu ndo zinahitajika
Au dada ulifurahia jamaan me kuchafuliwaMmmmh
...ha hahahaha, utadhani natania! Hivi ndo vilivyopo
bora nitumie hiviππ
atanielewa vipi nikituma hiviππ‘ππ
bora hivi ππ
hapa ndo ataniona sifaiπ±π³
chizi si chizi, labda chizi maarifaππ΅
Mama mchuchu tunapenda ufurahi jamaan naona umeyafurahia mauwa niliyokupa ya binamu yangu
Hahahha ujiongeze sasa binamu..kwa hapa aunt sina cha kuongeza, yaani kama ni pasi nishatanguliziwa, mbio zangu tu ndo zinahitajika
Kuna mtu aliweka uzi huko jukwa la habari mchanganyiko kataja watu mie apa mbeaKuna nini ?? Tell me