Makapuku Forum



Duh, basi wewe una bahati sana na vyovyote vile utakuwa na mipango ya kando mingi sana maana kwa ukimywa wako wanaamini unatunza siri
 
Binamu wewe jamaam mbona upo hivi ebu tuma vilivyopo na uendelee kutafuta


...ha hahahaha, utadhani natania! Hivi ndo vilivyopo
bora nitumie hiviπŸ™‚πŸ˜‰
atanielewa vipi nikituma hiviπŸ™πŸ˜‘πŸ˜•πŸ˜Ž
bora hivi πŸ˜›πŸ˜€

hapa ndo ataniona sifai😱😳

chizi si chizi, labda chizi maarifaπŸ™„πŸ˜΅
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…