Hawezi ibuka tena yule ndo mwisho wa ID yake.....ataibuka na nyingine turainyundooo njoo kf uone kuna jamaa anakuchokoza kila siku
Aibu kubwaaaa ila ndio vizuriii km wapo wengine waogopeeHawezi ibuka tena yule ndo mwisho wa ID yake.....ataibuka na nyingine tu
Baya moja hufuta mazuri elfu moja
Ishakuwa noma hata maswahiba wake walikuwa wanamtetea wamejificha
Ni fedheha
.......
Amekoma Side amekomaAibu kubwaaaa ila ndio vizuriii km wapo wengine waogopee
Dude limeamshwa kwa lege
Akiiii siwaelewi itakuwa posaTunagombania posa cjui
WeeMtu mwenyewe muoga hata kuua paka
.....
Nampenda huyu mdada10/Angelina JolieNi mcheza filamu maarufu huko Hollywood nchini Marekani
Ni demu wa Brad Pitt na walijaaliwa hadi kupata mtoto/watoto pamoja yaani kitu kimelipa...pia wameasili watoto kutoka sehemu mbalimbali duniani ikiwepo kutoka Afrika
Kupitia filamu anaingiza mkwanja mrefu kama urefu wa treni ya Mwakyembe inayozurura huku Joto City
Ana mpunga unaokadiriwa kufikia USD 120 Milioni
.....
AaahZaidi ya hataree... yaani
Have a watch down here ! Watch it
HeheheePole pole basiii
8/RihannaAmezaliwa Februari 20 1988
Huyu dada amewahi kuvaa gwanda katika Jeshi la Marekani halafu akaamua kuacha
Kawahi kuwa demu wa Chris Brown wakamwagana baada ya kudundwa vya kutosha kiasi cha kuumuka sura
Ndiye nyota wa kibao cha Umbrella ila pia vipi vingine kibao vikali kami vile Diamonds na kingine matata cha Rude Boy
Ana utajiri wa zaidi ya USD 245 Milioni
.......
Hilo cheko VipiHahahaa!
AiseeHiyo polisi akisikia mlio wake tuu anasepa !
Ukikutoa mpuuzi anayo ba anaijua vizuri ! Ni sekunde tuu anasafisha mtaa
Itabidi niitafuteThough kwenye Video hapo ni Ak-74 ambayo ni toleo la mwaka 1974 liloreplace tolea la mwaka 1947 ambazo kuna series pia Ak-47, AKMs
Hiyo ya kwenye video ni ndefu , nyepesi, ina Catridge dogo kidogo afu ina shoot range ya 100-1000m kwa adjustments..
Tofauti na Ak-47 ambayo inaishi a 350M ...
Naomba uachane na hiyo tabiaAnakuja now..
Wewe jamaa!
Demi is here already..!